Skip to main content

Posts

Tetesi za soka kimataifa

   Kiungo wa kati wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba anasema kwa sasa anapitia kipindi kigumu sana cha kazi yake ya soka kutokana na muda...
Recent posts

Mkutano wa Majadiliano wa Libya washindwa kufikia makubaliano ya serikali

  Mazungumzo yaliyosimamiwa na Umoja wa Mataifa yenye lengo la kuteuwa serikali ya mpito nchini Libya ili kukomesha mzozo wa muongo mzima sasa, yamemalizika...

Watu 34 wauawa baada ya kushambuliwa kwa silaha nchini Ethiopia

  Watu 34 wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia shambulizi la silaha lililotekelezwa kwenye basi la abiria nchini Ethiopia.Shirika la kujitegemea la utetezi...

Wafanyabiashara wa saruji mkoani Tabora waonywa

  WAFANYABIASHARA wa saruji mkoani Tabora wameonywa kutotumia soko huria na uwepo wa upungufu wa bidhaa hiyo kuwaumiza wananchi wanyonge kwa kuongeza bei...

Mamia ya wananchi wa Pakistan waandamana kumpinga Macron

  Wananchi wa Pakistan wamefanya maandamano ya kumpinga Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwa matamshi yake dhidi ya Uislamu na Nabii Muhammed. Mamia...

Kassim Majaliwa kuapishwa leo kuwa waziri mkuu

  Hafla ya kuapishwa kwake itafanyika Ikulu ya Chamwino-Dodoma baada ya Rais Magufuli kumteua na Bunge kumthibitisha mwishoni mwa wiki janaMajaliwa ataapishwa...